Nimeunda kundi jipya liitwalo KISS DA BABY ni maneno ambayo si mageni kwa mashabiki wangu na wanaweza kuelezea kwa kila anavyoweza kwa jinsi awezavyo ila inamaana kuwa SHIT IS OVER.Kundi hili linausisha wasanii wa aina tofauti wa muziki kutoka HISIA RECORDS,kwenye studio ya FEELING MUSIC (FM)/FEELING STUDIO.