Friday, September 20, 2013
NU LYRIC: RICH MAVOKO_-_ROHO YANGU
(Introduction)
Ayaya ayaya……………..Mmh……
(Verse One)
Nimekuwa kama Samaki kutamani nisivyoviweza
Kama ni Tanga niliapa nioe Muheza
Na kama kama Bahati mwenzenu nilishapoteza
Siku hizi ujanja ni kunywa mchuzi wa Pweza
Ai haya maneno walinena wazee wa zamani ii…..
Ukiwa Mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani
Haya maneno walinena wazee wa zamani ii…..
Ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani
(Chorus)
Maskini
Roho yangu mimi Roho yangu mimi Roho yangu
Uniachie we nenda zako

(Verse Two)
Mmh muji musingi Kiuno ukishatendwa ndio byebye
Yamsondo mumpe Ngurumo hayo mengine hayafai
Mbona penzi limechacha nae
Wacha niguse niachane nae
Hasinigande nigombane nae
Hakuna mapenzi husibishane nae
Ai haya maneno walinena wazee wa zamani ii…..
Ukiwa Mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani
Haya maneno walinena wazee wa zamani ii…..
Ukiwa Mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani
(Chorus)
Maskini
Roho yangu mimi Roho yangu mimi Roho yangu
Uniachie we nenda zako
Maskini
Roho yangu mimi Roho yangu mimi Roho yangu
Uniachie we nenda zako
Maskini
Roho yangu mimi Roho yangu mimi Roho yangu
Uniachie we nenda zako
Maskini
Roho yangu mimi Roho yangu mimi Roho yangu
Uniachie we nenda zako
(Bridge)
Mmh Aah
Roho yangu mimi Roho yangu mimi Roho yangu mama ah
Chaki chakichaki nampi nai Chaki chakichaki ficha nai
Ai ai ai ai ai ai ai ……
Chaki chakichaki nampi nai Chaki chakichaki ficha nai
Alichaaah (aah)
MAVOKO
Subscribe to:
Posts (Atom)