Monday, February 22, 2016

Ifikapo 17/06/2016 simu zisizo orijino zitazimwa. Hii ndio njia ya kujua simu yako janja ni orijino

Kujua kama simu yako no orijino piga *#06# kupata IMEI Namba, kisha tuma IMEI namba kwenda 15090 ni BURE.

VIGEZO NA MASHARTI VINAZINGATIWA ni laini ya Vodacom tu.
Ama tutafute 0654955825