Aliyekuwa meneja wa zamani Raqey Mohamed na uongozi wake wakutana leo tarehe 11 maeneo ya DAR FREE MARKET kwenye ofisi za I-View studio zilipo kujadili namna gani watafanya kazi pamoja katika suala hilo la Mkurugenzi wa shindano bw. Morison Mosses na uongozi wake TFFC/TFFF.
Bofya hapa kupata HOTUBA YA MKURUGENZI WA SHINDANO, BW. MORISON MOSSES, WAKATI WALIPOKUTANA KWA MKUTANO NA I-VIEW STUDIO.