Ujio wa Diamond ulikuwa na Ricardo Momo pia Babu Tale. MORISON alifanya mazungumzo na Ricardo kuhusiana na mchezo wake. Ricardo alipenda sana na kwa vile yeye ni mchezaji mzuri sana angependa kushiriki pia.
Wednesday, December 23, 2015
Nduguye Diamond, Ricardo Momo aikubali dili ya MORISON.
Uhuru Fm yamkutanisha Diamond na Morison muda mchache uliopita.
Kama ulimsikiliza Diamond 95.7 FM leo saa nane na nusu, sasa kabla ya kuingia kwa ajili ya mahojiano Diamond alikutana na Morison na baadhi ya watangazaji wa Uhuru Fm.
Subscribe to:
Posts (Atom)