Saturday, August 29, 2015

CHINA: China signs Big deal with Africa's Richest man, Aliko Dangote

Dangote Cement yesterday signed contracts
with Chinese firm, Sinoma International to build
cement factories in 13 countries – 12 in Africa
and Nepal, an Asian country.
On completion, 25 million tonnes of cement will
be generated annually in what is a revolution the
cement sub sector. This will bring the capacity of
Dangote cement to 70 million tonnes per annum.
The $4.34bilion deal was sealed in the presence
of ambassadors of some of the beneficiary
countries.
President of Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote,
signed for his group while the Chief Executive
Officer, Sinoma, Mr. Shen Jun, signed for his
company.
The Chinese firm will execute the construction
projects with equipment sourced from Germany.

MORISON BLOG YAPATA MWANAHABARI MPYA KUTOKA CHINA HUYU HAPA MJUE SASA.

Blog imeanza kukua kidogokidogo na imeanza kupata wanahabari na wadau mbalimbali ndani na nje ya nchi. GASTO CONSAY ni mtanzania ambaye ni mjasiliamali wa intaneti na mwanahabari wa kujitegemea anayeishi China, hivi sasa tumeingia naye kimazungumzo katika blog yetu kuwa atakuwa anatujuza habari mbalimbali pamoja na timu yake ya Wachina.

Itaendelea.......

Picha ikimuonesha mwanahabari wetu.

MICHEZO: Liverpool chali kwa West ham

Baada ya kuanza ligi vizuri kwa kushinda mechi
mbili za mwanzo na kutoa sare moja, klabu ya
Liverpool leo imeanza kuonja joto ya jiwe katika
Barclays premier league.
Wakicheza kwenye uwanja wao wa nyumbani wa
Anfield – Liverpool wamepoteza mchezo wao wa
kwanza msimu huu baada ya kukubali kipigo cha
3-0 kutoka West Ham.

Baadhi ya Picha na Video za leo Jangwani

Angalia picha na video .....

TEKNOLOJIA: Endesha BLOG ama TOVUTI (website) yako sasa kwa kutumia simu yako.

Teknolojia imezidi kukua zaidi na zaidi. Na mambo mengi yanazidi kuvumbuliwa sana.

Sasa basi kutana na mwanateknolojia wetu mjasiriamali wa intaneti kwa kupiga namba 0767 955 825.