Sunday, January 6, 2013

NI KWELI MICHAEL JACKSON WA TANZANIA NI KAMA YULE..........?

Hii video ni Wako Jako wa Bongo

Hii video ni Wako Jako yule wa Marekani

Ukitaka kujua kwamba ni kweli wamefanana kila kitu tafuta video zao kisha linganisha au wasiliana nami.

WEMA SEPETU LIVE AKITANGAZA KIPINDI CHA COUNTDOWN NDANI YA CHOICE FM

Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa msanii wa Bongo Movie maarufu kama Wema sepetu kwa kuwasha kipaza sauti na kuendesha show ya redio kwa masaa mawili live ndani ya choice Fm 102.5 Fm Hebu tune to Choice Fm today kuanzia hivi sasa 3pm-5pm.