Monday, February 8, 2016

Mwenyekiti RAQEY wa Kamati teule ya mashindano ya TFFA na wajumbe wake waanza na hili.

Leo muda mchache uliopita kamati teule ya mashindano yote ya Chama cha Kuchezea mpira wa miguu -TFFA walikaa kikao ofisi ya I-View studio jengo la Dar Free market. Kikao hiko cha lisaa limoja na nusu kilikuwa na wajumbe watano wakiwemo:
1. Raqey Mohammed-Mwenyekiti wa kamati na ndiye mkurugenzi wa I-view studio
2. Sophia Obero-Makamo mwenyekiti wa kamati na ndiye Meneja wa I-view studio
3. Pascal Chang'a-Makamo mwenyekiti wa chama
4. Jonathan-Katibu wa kamati
5. Morison Mosses-Mwenyekiti wa Chama

Wakiongelea namna gani ya kuanza mashindano?.