Monday, November 16, 2015

Shindano tarajiwa la Morison litaingia ubia na I-View studio

Studio maarufu kwa kazi ya uzalishaji video, picha na mabango ya matangazo n.k kama ya tigo (Joti), video za Diamond Platnumz n.k. Mkurugenzi wa studio hiyo alizungumza na Morison na uongozi wake kuhusu shindano na Raqey ambaye ni mkurugenzi ameafiki kufanyakazi hiyo ya video, picha na matangazo n.k.