Uusiniulize division gani, sababu utanizingua Ukipenda ingia net, kama ni zero au four utagundua Mi jana sikuamini, nikajuaga ya kuzua, Waliofeli ni wengi, na zero ni nyingi roho inaniuma
{Hook} Oooh majibu yamenifanya kama mtoto nilie vibaya Kusoma tena siwezi kilichobaki nahiari nifunge ndoa X2 {Chorus}
Mi nataka kuoa ... Mi naataka kuoa ..... Nataka kuoa ..... Zikipanda nichakalike.