Www.whoissuistar.Blogspot.Com
I'm Suistar
Artist:Diamond
Song:Ukimuona
Written By:M M J
{Verse 1}
Mmmh
Mungu aliumba Dunia, mapenzi tangu na tangu, yashanipiga sasa sina budi nielewe
Siwezi kung'ang'ania, huenda sio fungu langu, japo ni shida ila n'tabaki mwenyewe
Oh Ila
Kiss Da Baby Musicians Group
Mpe shukrani kwa kuniumiza suraya aaah
Mwambie mi bado maututi nauguza kidonda changu
Na hasisikie hasirani mwambie mapenzi mabaya aaah
Ta angalia kailuki si ningetibu gongwa langu
{Hook}
Kutwa nzima moyo unanidundadunda (dunda)
Sina amani nasaka rumba (rumba)
Unanidundadunda semachine timee eh Moyo ooh
Unanidundadunda (mamii moyo)
Sina amani nasaka rumba (ooh mimi)
Unanidundadunda Eeeeeh Ukimuona
{Chorus}
Ukimuona
Ukimuona
Ukimuona
Ukimuona
Ukimuona
{Verse 2}
Eh we nenda mwambie marafiki marafiki wabaya
Tena wengi waongo wala wasimdanganye
Oya mashoga marafiki oh marafiki wabaya
Ooh mmh
Tatizo mi bado, nilipoteleza nikakosa sipajui
Mpaka kafunga vilago, na akaamua kuondoka sitambui
Ubaya kinachoniumiza maneno maneno, mara kwa ndugu rafiki
Kwa nini anawapa misemo
Najaribu papasa, wenda kwa macho ataona chochote
Ila ndio kutwa mikasa, na ninazidi kuzunguka niokote
{hook}
Kutwa nzima moyo unanidundadunda (dunda)
Sina amani nasaka rumba (rumba)
Unanidundadunda semachine timee eh Moyo ooh
Unanidundadunda (mamii moyo)
Sina amani nasaka rumba (ooh mimi)
Unanidundadunda Eeeeeh Ukimuona
{Chorus}
Ukimuona
Ukimuona
Ukimuona
Ukimuona
Ukimuona
Written By: Suistar
Visit;
morisonmosses@yahoo.com
morison.mosses@facebook.com
suistar.mosilver@facebook.com
morisonmosses@gmail.com
morisonm.blogspot.com
twitter@morisonmosses.com
www.uzasura.com