My Lyrics

Artist
:Suistar Mo Silver Ft. Minyo


Song:Tutapata
Producer:Minyo
Studio:Hisia
Year:2012
Written By:M M J

(Chorus:Minyo)

Shida na karaha,vumilia dada
Nasi tutapata,maisha tutashinda
Shida na karaha,vumilia dada
Nasi tutapata,maisha tutashinda
Tusiogope kuchekwa aah
Mungu ndiye aliyepanga aah
Tusiogope kuchekwa aah
Mungu ndiye aliyepanga aah
Nakupenda nakuhitaji usiniache eh
Nakupenda nakuhitaji usiogope eeh

(Verse One:Suistar)
Ninasikitika mimi,kuwa maskini
Kinachoniumiza mimi,pesa mfukoni
Ninasikitika mimi,kuwa maskini
Kinachoniumiza mimi,pesa mfukoni
Kwani sina raha,na mawazo
Kwani nakupenda,umaskini ni kikwazo
Uzuri na tabia...vimenivutia
We wangu my dear
Usiniache
Uzuri na tabia...vimenivutia
We wangu my dear
Usiniache
(Chorus:Minyo)

(Verse Two:Suistar)
Mapenzi mapenzi yananiumiza mimi iii
Yananifanya nakosa raha jamani iii
Mapenzi mapenzi yananiumiza mimi iii
Yananifanya nakosa raha jamani iii
Vumilia mpenzi huu umaskini iii
Vumilia mpenzi amini tutawin iii
Minyo

Oooooooh
Tutafunga ndoa mimi na wewe
Tutafunga ndoa tuishi pamoja
Tutafunga ndoa mimi na wewe
Tutafunga ndoa tuishi pamoja
Aaaaah ndolilolita
mimi nakuita
Ndolilolita aaaaah
Ndollilolita
Mpenzi nakuita
Ndolilolita aaaaaaaaaah
 
Aha!Producer Minyo Masonge
Ndani ya Hisia Records
(Chorus:Minyo)
Written
By:Suistar


 

 
Visit;
morisonmosses@yahoo.com
morison.mosses@facebook.com
suistar.mosilver@facebook.com
morisonmosses@gmail.com
morisonm.blogspot.com
twitter@morisonmosses.com