Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dk.John Pombe Magufuli leo amefanya ziara
nyingine ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili kujionea hali ya utoaji huduma kwa
wagonjwa.
Akiwa hospitalini hapo, Rais Magufuli alipata
fursa ya kuongea na wagonjwa.
Awali Rais Magufuli alifika katika Hospitali ya
Agha Khan kumjulia hali Mkurugenzi wa Kituo
cha Sheria na Haki za Binadamu, Dk. Hellen Kijo
Bisimba anayepatiwa matibabu na vipimo katika
hospitali hiyo baada ya jana kupata ajali katika
makutano ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi
jijini Dar es Salaam.
Monday, November 9, 2015
RAIS MAGUFULI NI MWENDO WA KUSTUKIZA TU, UKIWAAMBIA WATAJIPANGA
Subscribe to:
Posts (Atom)