Sunday, June 2, 2013

Ya Leo niliyoipata: KIPINDI HICHO NCHINI INDIA BILA CHOO HAKUNA MCHUMBA,NDIYO ILIKUWA KAULI MBIO YAO…….

Ya Leo niliyoipata: KIPINDI HICHO NCHINI INDIA BILA CHOO HAKUNA MCHUMBA,NDIYO ILIKUWA KAULI MBIO…….
Sababu simu za mkononi zilikuwa nyingi kuliko vyoo.

Upcoming Artist: JOSE R_Feat._MCHAJI_-_UNIPENDE….

Jose R mwenyewe

HUU NDIO MFUMO UNAOTUMIKA KUIENDESHA DUNIA KWA SASA.

HUU NDIO MFUMO UNAOTUMIKA KUIENDESHA DUNIA KWA SASA.

PATA VIGEZO VINAVYOTUMIKA KUMPATA MSHINDI WA TUZO ZA MUZIKI KUPITIA www.WHOISSUISTAR.blogspot.com

PATA VIGEZO VINAVYOTUMIKA KUMPATA MSHINDI WA TUZO ZA MUZIKI KUPITIA www.WHOISSUISTAR.blogspot.com

Or

I'm Suistar on Facebook

MTWARA GESI YAWA MAJI NOOOOMA KWELIKWELI

Ni baadhi ya taarifa zilizozagaa kila mahali kusadikika kwa gesi ilikuwa ikipiganiwa na wananchi wa mkoani Mtwara yawa maji.

WEMA SEPETU AJIFANANISHA NA MNYAMA,”NINGEPENDA KUWA TWIGA KWA SABABU………….”

WEMA SEPETU AJIFANANISHA NA MNYAMA,”NINGEPENDA KUWA TWIGA KWA SABABU………….”
Akizungumza na jarida la BabKubwa la MAY-JUNE katika maojiano aliulizwa “KAMA UNGEZALIWA MNYAMA UNGEPENDA KUWA NANI NA KWANINI?”,alijibu “NINGEPENDA KUWA TWIGA KWA SABABU KIDOGO ANGE-RESEMBLE NA NILIVYO SASA,BEAUTIFUL.