Saturday, December 1, 2012
WATU WANNEWALIYOMUIBIA NGUO NAKUMKATA VIDOLE SHAROMILIONEA WAKAMATWA....
Watu wa nne wamekamatwa
na jeshi la police wakiwa na
Baadhi ya vitu alivyokuwa
navyo marehemuSharo Milionea kama vileJeans,T- Shert,Viatu,Simu ya
mkononi,Pete,Cheni,Tairi
moja la gari,pamoja na Battery la gari alilopatanalo ajali marehemu Sharo
Milionea....Inasemekana watu hao waliposhindwa kumvua
Pete vidoleni walimkata vidole
vyake....Watuhumiwa hao
walikuwa sita wamekamatwa
wanne bado wawili waliokimbia
na pesa alizokuwa nazo MaremuSharo Milionea....

Subscribe to:
Posts (Atom)