Thursday, May 23, 2013
Producer MINYO’S wedding on JUNE
Ni moja ya watayarishaji muziki,matangazo n.k mahiri katika studio ya HISIA Records iliyopo TEMEKE. Minyo ndiye aliyetengeneza wimbo wa msanii SUISTAR MO SILVER uitwao TUTAPATA na kufanya kazi nyingi na wasanii kama SPINCE MADINI-Busara Ya Mapenzi,MUDDY CLASSIC,CHOLLO MILA,SALMIN,TUNDAMAN,SHEBBY DODO,BEKA,BW.MISOSI n.k. Minyo aliongea na www.whoissuistar.blogspot.com kuwa muafaka wa suala lake uko palepale na mipango yote iko sawa kuwa ataoa mwezi Juni, nakumalizia kutoa shukrani zake za dhati kwa wanandugu,marafiki,jamaa,majirani n.k kufanikisha michango yao kwa moyo mmoja.
TrippleSave Yampa Uchezaji Bora IVO MAPUNDA na kupewa TUZO………
Baada ya mechi kumalizika golikipa I.Mapunda aliibuka kuwa mchezaji bora baada ya kuokoa mipira mitatu iliyopigwa golini kwake kwa haraka zaidi.Alipewa ya simu kali yenye T.V ya chaneli za Afrika Mashariki na baadhi za nje.
Subscribe to:
Posts (Atom)