Monday, December 10, 2012
Intro:Rock town recordsDear God let me talk to youcause am in jungleI need your helpI watch back I see myself!! Verse:Asante Mungu leo ni siku nyinginenakuja mbele yako baba nina ombijingineBaba we ndo kimbilio sina tenamwingine si unacheki sina furaha kamawatu wengineWengine wanakula bata na kusazazinginemimi bado niko ziro na maselawengine Pengine labda umenisahau auumenichoka pengine?lakini hapana we sio kama viumbewengineUliniumba wewe baba sio mtumwingine tena mimba yangu ililelewa nababa mwingineBaba alikua busy na mademuwenginenimeshamsamehe mwambie anamtoto mwingine Mwambie nampenda sana sinababa mwinginemwisho wayote mlaze pema kamawatu wengineTukiachana na hayo nina mambomengine baba mziki wangu ndio tatizokubwa jingineNachana sana promo wanapewawenginewengine wanasema niende kwamganga pengine Lakini mi nimebatizwa kamawakristo wenginenaijua Biblia zaidi ya vitabuvingineMungu wa israel Mungu wamataifa mengine Mungu wa Yakobo Mungu waIsaka Mungu wa watu wenginekusikie kuomba kwangu nipe njianyingineNaombea watoto mayatima nawenye shida wengine Wananchi maskini na tabakajingineMungu baba tupe neema kamanchi zingineWatembelee mafisadi mmoja baadaya mwingine wakumbushe kula kwa jasho kamawatu wengineOna mpaka nasahau menginebaba ajira zipo chache hawapatiwengineVijana wanakula unga hawana kazi nyingineeedada zetu wanajiuza wenginePengine labda ndio sodoma nagomora nyinginewanaume sikuhizi ni mashogawengine Wanadai haki zao kama hakizinginewanaandamana hadharani mataifamengineWanaoana kwa harusi kama ndoazingine tuachane na hayo masuala ninaswala jingineHivi ni kweli umewatuma manabiiwengine?maana kila kukicha kuna kanisajingine Huyu nabii na huyu ni nabiimwinginehuyu anaponda na huyuanampinga mwingineWanahubiri kuhusu pesa sio kitukingine toa ndugu toa toa ulichonachokingineMungu nionyeshe njia nionesheishara nyingineyapo mambo mengi tu siwezi tajamengine Hata demu wangu nahisi anamshikaji mwinginemaana kabadilika kawa kama yulemwingineNiliyemfuma live akiwa na boyamwingine nisamehe dhambi ya kuzini sinadhambi nyingineMwokozi wangu niongeze pesazinginerafiki zangu niongeze tenawengine Wawe wote waukweli sio masnitchwenginewakuchukua siri na kuvujishakwingineNaombea madaktari waongezweposho nyingine ili usije kutokea mgomo mwingineMana walikufa watu wasijewakafa wenginemwisho wa yote nashukuru kwauhai mwingineNinajua sahizi watu wamelazwa wenginerafiki zangu walishagongwa namagari wengineKama Farook Wa lango na machiziwenginemlaze pema Kanumba na rafiki wengineTutaonana Yesu akirudi kwa maranyingineasante sana kwa baraza jingineJapo magamba yamevukayakabaki mengine Dee classic mo j na watu wengineWanadai nchi imeuzwa kwa jamaamwingineSajuki Vengu na wagonjwawengineWanyooshee mkono wako wape Afya nyingineeeAmeen!!
Subscribe to:
Posts (Atom)