Jiunge kwenye orodha ya watu wangu wa ukweli ninaowatumia stori kila siku zinaponifikia. JIUNGE nami: Whatsapp: +255 654 955 825
Haya ni mashindano yatakayoanza rasmi 2016 kwa mujibu wa Shirikisho jipya la Kuchezea Mpira wa miguu Tanzania "TANZANIA FREESTYLE FOOTBALL FEDERATION, habari kamili ilitolewa na Rais wa shirikisho bw. MORISON MOSSES na uongozi wake.