Friday, November 27, 2015

MASHINDANO MAKUBWA YA KUSAKA VIPAJI NA UBINGWA WA KUCHEZEA MPIRA WA MIGUU "FREESTYLE FOOTBALL TALENT SEARCH & CHAMPIONSHIP" YAJA.

Haya ni mashindano yatakayoanza rasmi 2016 kwa mujibu wa Shirikisho jipya la Kuchezea Mpira wa miguu Tanzania "TANZANIA FREESTYLE FOOTBALL FEDERATION, habari kamili ilitolewa na Rais wa shirikisho bw. MORISON MOSSES na uongozi wake.

No comments:

Post a Comment