Tuesday, November 3, 2015

Picha: MAGUFULI AKIWA NA TB JOSHUA

Mh. Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania J.P MAGUFULI akimkaribisha Mtume na Nabii TB JOSHUA hapo jana.

MWINGIRA USO KWA USO NA TB JOSHUA

Mitume na Manabii J.E. MWINGIRA na TB JOSHUA wakutana kujadili jinsi gani ya kuiombea nchi yetu.

TB JOSHUA ATUA NCHINI LEO.

Nabii TB JOSHUA wa Nigeria amekuja nchini TANZANIA kwa mambo kadhaa kwa ajili ya nchi yetu kama vile kuiombea.