Monday, August 12, 2013
BONGOFLEVA IMEKUWA TISHIO AFRIKA MASHARIKI NA MAGHARIBI WASANII KUPOKELEWA KAMA WAHESHIMIWA
Tukiangalia baadhi ya wasanii wakubwa nchini kama DIAMOND, OMMY D n.k wamekuwa wakifanya vizuri katika muziki wa sasa nakufanya kukubalika sana na watu wa mataifa mengi ya Afrika na hata nje ya Afrika.
WIZARA YA KATIBA NA SHERIA: USIJICHUKULIE SHERIA MKONONI, HESHIMU KATIBA NA SHERIA.
Ijue KATIBA ya nchi yako kama wewe ni mzalendo wa nchi yako.
WIMBO WA SIKU: Ommy Dimpoz Ft. J.Martin_~_TUPOGO.
Huu ni wimbo ambao unafanya vizuri sana kwa sasa hapa TZ.
Subscribe to:
Posts (Atom)