Sunday, August 30, 2015

Mmiliki wa AUDCLOUD akutana na mmiliki wa blog ya MORISON leo na kuzungumza haya.

Mwenyekiti mtendaji ambaye pia ni mmiliki wa blog ya MORISON-Morison Mosses alikutana na mmiliki wa AUDCLOUD wa aplikesheni ya intaneti ya redio JOANNES FELICIAN JOHN leo Mwenge kwa mara ya kwanza kukutana na walizungumzia haya:
1. Kuungana katika biashara zao.
2. Kuboresha biashara zao.
3. Kuanzisha biashara nyingine. n.k.

Meneja wa kampeni ACT WAZALENDO: Awachana UKAWA na CCM, wana sumu ya kuwapa

Meneja wa kampeni Bw. HABIBU MCHANGE leo akizungumza wakati wa kampeni ya uzinduzi rasmi alisema Sumu zipo UKAWA na CCM, Mgombea uraisi CCM usitufanye mazuzu, Sumaye umetushangaza jana kutetea mambo yale, n.k kwa Lowasa.

GASTOCHINA: 10 Reasons Why C Students Are More Successful After Graduation​

So with this backdrop, we can now examine why
C students are generally better off than their A
and B counterparts.

1. They question the validity of the academic system.
2. They are not submissive followers.
3. They are not trying to please and impress their superiors.
4. They have bigger things to worry about.
5. They have their own definition of success.
6. They know how to leverage other people's abilities.
7. They prefer self-directed learning.
8. They're not perfectionists.
9. They don't waste energy thoughlessly.
10. They are dreamers.

UCHAGUZI2015:Hivi ndivyo ACT WAZALENDO walivyozindua kampeni ya uchaguzi.

Uzinduzi huo wa kampeni uliofanyika leo 30/08/2015 Mbagala Zakheem. ACT WAZALENDO walitoa ILANI yao na Mgombea uraisi Mhe. Anna alisema mambo matatu ya mwaka huu ni 1. Utu 2. Uzalendo 3. Uadilifu. Pamoja na vipaumbele 1. Mifuko ya hifadhi ya jamii 2. Uchumi shirikishi 3. Afya 4. Elimu. Pia mikakati yao 1. Kuongeza shughuli za uzalishaji mali 2. Kuondoa misamaha ya kodi isiyokuwa na tija.3. Kuziba mianya ya rushwa. n.k aliongelea kutoka kwenye ilani hiyo.