Sunday, August 30, 2015

Mmiliki wa AUDCLOUD akutana na mmiliki wa blog ya MORISON leo na kuzungumza haya.

Mwenyekiti mtendaji ambaye pia ni mmiliki wa blog ya MORISON-Morison Mosses alikutana na mmiliki wa AUDCLOUD wa aplikesheni ya intaneti ya redio JOANNES FELICIAN JOHN leo Mwenge kwa mara ya kwanza kukutana na walizungumzia haya:
1. Kuungana katika biashara zao.
2. Kuboresha biashara zao.
3. Kuanzisha biashara nyingine. n.k.

No comments:

Post a Comment