Tuesday, December 8, 2015

VIDEO: WAZIRI MKUU ASAFISHA MITARO YA SOKO KUU LA KARIAKOO NA NDANI YA SOKO

Kauli mbiu y leo ni "KWANZA USAFI KAZI BAADAE". Kauli mbiu hiyo ilitekelezwa na Mhe. M.K Majaliwa asubuhi ya leo maeneo ya Kariakoo sokoni saa 12.

MORISON: "HII SASA NI VITA".

Rais wa shirikisho jipya liitwalo TANZANIA FREESTYLE FOOTBALL FEDERATION (Shirikisho la kuchezea mpira wa miguu) amesikika akisema sentensi hii kama ifuatavyo mara kwa mara "HII SASA NI VITA" akiwa amekaa kwenye mikutano tofauti tofauti.