Friday, July 5, 2013
DIAMOND: MGANGA AJIPANGE SANA,ALISEMA SITAPATA TUZO MBONA NIMEPATA AKASEMA NITASHUKA KILA LEO MBONA NAPANDA SASA......
Yeah! "alisema ataniangusha kwa yeye anavyojua nini atafanya ila mimi bado napanda".Aliripotia akisema maneno mengi kuhusu mganga huyo.
YALIYOJIRI LEO:DIAMOND AFANYA REMIX YA USWAZI TAKE AWAY NA CHEGE COMING SOON
Enh sukari ya warembo ya wakina dada ameripotiwa akizungumza na redio one leo, akizungumzia suala USIKU WA MATUMAINI na aligusia hili suala.
Subscribe to:
Posts (Atom)