Bw. Morison Mosses alizungumza na chombo chake cha habari Magomeni.l, aliomba na kusisitiza sana kujitokeza kwa wanachama wa chama wale binafsi na wa mikoa.
Pia alieleza jinsi gani ya kuwapata wanachama

Channel 10 Leo walimuhoji Pascal Chang'a ambaye ni makamo mwenyekiti eneo la ofisi zao Kisutu na mtangazaji mahiri Ezekiel Mwambopo.