Tuesday, December 29, 2015

Usikose kumuangalia Makamo M/kiti wa chama na Makamo mteule wa shirikisho la kuchezea mpira wa miguu PASCAL leo 29/12/2015 saa moja kamili usiku Channel 10 kwenye habari za michezo

Channel 10 Leo walimuhoji Pascal Chang'a ambaye ni makamo mwenyekiti eneo la ofisi zao Kisutu na mtangazaji mahiri Ezekiel Mwambopo.

No comments:

Post a Comment