Wednesday, August 19, 2015

KIPINDUPINDU CHALIPUKIA DAR, MNAOMBWA MJIADHARI SASA

Gonjwa hili hatari la mlipuko lalipukia Dar Es Salaam wilaya ya Kinondononi. Lauwa baadhi ya watu na mahututi kadhaa.

Zijue HAKI NA WAJIBU WA MTEJA WA MAWASILIANO KUTOKA TCRA

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imeweka haki na wajibu wa mteja wa mawasiliano ili ndugu mteja uzijue na kuzingatia.