Www.whoissuistar.blogspot.com
I'm Suistar
Artist: Rich Mavoko
Song: Upendo
Year: 2012
Written By: M.M.J
{Chorus}
Najutia Upendo, maana kutendwa ni maumivu
Moyoni n’na pengo, kitovu cha mapenzi kweli ni wivu
Najutia Upendo, maana kutendwa ni maumivu
Moyoni n’na pengo, kitovu cha mapenzi kweli ni wivu
{Verse One}
Ulimi ulikosa, kwa matamshi machafu machafu sana
Penzi limekufa, limeshaliwa na wafu inaniuma sana
Unaamini kwamba, ukipandacho ni sumu ndani ya moyo wako
Labda ungejifunga, usingejilaumu ndani ya penzi lako
Zile ndoto za mchana Aaah
Kwa kudanganywa utapendwa Aaah
Kwa marefu na mapana Aaah
Ona yule mi nakwenda Aaah
Zile ndoto za mchana
Kwa kudanganywa utapendwa
Kwa marefu na mapana
Ona yule mi nakwenda hey!
{Chorus}
{Verse Two}
Uliukimbiza upepo, kwa kujua nini utapata
Umeambulia mateso, moyo umebaki unajaka
Kama Kinyonga tabia zangu, kila siku nabadilika
Hukuyaelewa matendo yangu, si kwa kiangazi wala masika
Ukavunja na ukimya Aaah
Ukasema hisia zako Aaah
Mwenzako mbona nipo kimya Aaah
Ooh! nalia na penzi lako Aaah
{Chorus}
Written By:Suistar
Visit;
morisonmosses@yahoo.com
morison.mosses@facebook.com
suistar.mosilver@facebook.com
morisonmosses@gmail.com
morisonm.blogspot.com
twitter@morisonmosses.com
No comments:
Post a Comment