Jiunge kwenye orodha ya watu wangu wa ukweli ninaowatumia stori kila siku zinaponifikia. JIUNGE nami: Whatsapp: +255 654 955 825
Frederick Tluway Sumaye ametumikia miaka kumi kwenye nafasi ya Uwaziri Mkuu wakati Mzee Benjamin William Mkapa akiwa Rais wa Tanzania kuanzia mwaka 1995 mpaka 2005.