Saturday, August 22, 2015

WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDICK SUMAYE AHAMIA UKAWA RASMI

Frederick Tluway Sumaye ametumikia miaka kumi
kwenye nafasi ya Uwaziri Mkuu wakati Mzee
Benjamin William Mkapa akiwa Rais wa Tanzania
kuanzia mwaka 1995 mpaka 2005.

No comments:

Post a Comment