Mwenyekiti wa chama na rais wa shirikisho la kuchezea mpira wa miguu nchini (Tanzania Freestyle Football Association). Alizungumza na viongozi wa chama kuhusu mkakati wa kutangaza chama utaanza rasmi tarehe 02/01/2016 mpaka tarehe 16/01/2016 na kueleza mambo mengimengi ya chama.
Pia alivitaja baadhi ya vyombo vya habari walivyotembelea kama:
1. Azam Tv
2. ITV
3. TBC 1
4. Channel 10
5. Uhuru FM
Hivyo basi mchakato utaanza rasmi tarehe 02/01 kwa kuruhusu viongozi wengine kwenda kuzungumza.
Vilevile tutaweza kurudia vyombo hivyo tulivyotembelea tena kutangaza zaidi chama.
Na mwandishi:
Gabriel M. Mzee