Wednesday, December 16, 2015

SHIRIKISHO LA KUCHEZEA MPIRA WA MIGUU LAKUBALIWA KUTUMIA VIWANJA VYA J.M.KIKWETE YOUTH PARK

Shirikisho hilo la kuchezea mpira wa miguu TANZANIA FREESTYLE FOOTBALL FEDERATION - TFFF au TF3 kilichoanzishwa na MORISON MOSSES kilituma maombi ya kutumia viwanja vya J.M.KIKWETE YOUTH PARK na kukubaliwa maombi yao kwa ajilo ya mazoezi, mashindano, mafunzo n.k.