Friday, September 25, 2015

EL CLASICO YA TANZANIA KUCHEZWA KESHO.

Mechi ya watani wa jadi SIMBA VS YANGA ni mechi inayosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa timu hizo.