Tuesday, September 1, 2015

KIKWETE AAGWA LEO

Hafla ya kumuaga raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. JAKAYA M. KIKWETE na amiri jeshi mkuu itakayofanyika leo usiku ukumbi wa Diamond Jubilee muda wa usiku iliyoandaliwa na vikosi vya ulinzi na usalama vya Tanzania.

TAMASHA LA JINSIA 2015 LAFUNGULIWA RASMI LEO

Kama ilivyo kawaida kufanya maadhimisho haya kila muda wa  miaka miwili hufanyika tamasha hili.