Jiunge kwenye orodha ya watu wangu wa ukweli ninaowatumia stori kila siku zinaponifikia.
JIUNGE nami:
Whatsapp: +255 654 955 825
Tuesday, September 1, 2015
KIKWETE AAGWA LEO
Hafla ya kumuaga raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. JAKAYA M. KIKWETEna amiri jeshi mkuu itakayofanyika leo usiku ukumbi wa Diamond Jubilee muda wa usiku iliyoandaliwa na vikosi vya ulinzi na usalama vya Tanzania.
No comments:
Post a Comment