15-05-2013 mwanadada aliyefahamika kwa jina JOHA alijifungua mtoto baada ya hapo alienda kumtupa mtoto huyo choo cha jirani.Na alipohojiwa alisema amechoropoka gafla wakati alipochuchuma lakini cha kushangaza mtoto alikutwa choo cha jirani. Mwenyekiti alitoa taarifa kamili kuhusu mwanadada huyo na hivi sasa yupo MWANANYAMALA hospitali akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi akiwa na mtoto kwa ajiri ya kumpatia huduma mtoto
TUMA MAONI YAKO HAPO CHINI AU LIKE PAGE YA UZASURA.COM KWENYE FACEBOOK NA TUMA MAONI.