Thursday, October 8, 2015

MASHINDANO YA NDEVU NA MASHARUBU YAANDALIWA

Australia yaandaa mashindano ya kimataifa ya
mitindo ya ndevu na masharubu kwa wanaume.
Mashindano ya ndevu na masharubu
Wanaume wenye utamaduni wa kufuga ndevu na
masharubu walijitokeza kushiriki mashindano ya
kimataifa nchini Australia.