Tuesday, December 29, 2015

Usikose kumuangalia M/kiti wa chama na Rais mteule wa shirikisho la kuchezea mpira wa miguu MORISON leo 29/12/2015 saa moja kamili usiku Channel 10 kwenye habari za michezo

Channel 10 Leo walimuhoji Morison eneo la ofisi zao Kisutu na mtangazaji mahiri Ezekiel Mwambopo.

No comments:

Post a Comment