Sunday, August 30, 2015

UCHAGUZI2015:Hivi ndivyo ACT WAZALENDO walivyozindua kampeni ya uchaguzi.

Uzinduzi huo wa kampeni uliofanyika leo 30/08/2015 Mbagala Zakheem. ACT WAZALENDO walitoa ILANI yao na Mgombea uraisi Mhe. Anna alisema mambo matatu ya mwaka huu ni 1. Utu 2. Uzalendo 3. Uadilifu. Pamoja na vipaumbele 1. Mifuko ya hifadhi ya jamii 2. Uchumi shirikishi 3. Afya 4. Elimu. Pia mikakati yao 1. Kuongeza shughuli za uzalishaji mali 2. Kuondoa misamaha ya kodi isiyokuwa na tija.3. Kuziba mianya ya rushwa. n.k aliongelea kutoka kwenye ilani hiyo.

No comments:

Post a Comment