Monday, August 12, 2013

BONGOFLEVA IMEKUWA TISHIO AFRIKA MASHARIKI NA MAGHARIBI WASANII KUPOKELEWA KAMA WAHESHIMIWA

Tukiangalia baadhi ya wasanii wakubwa nchini kama DIAMOND, OMMY D n.k wamekuwa wakifanya vizuri katika muziki wa sasa nakufanya kukubalika sana na watu wa mataifa mengi ya Afrika na hata nje ya Afrika.

No comments:

Post a Comment