Ni moja ya watayarishaji muziki,matangazo n.k mahiri katika studio ya HISIA Records iliyopo TEMEKE. Minyo ndiye aliyetengeneza wimbo wa msanii SUISTAR MO SILVER uitwao TUTAPATA na kufanya kazi nyingi na wasanii kama SPINCE MADINI-Busara Ya Mapenzi,MUDDY CLASSIC,CHOLLO MILA,SALMIN,TUNDAMAN,SHEBBY DODO,BEKA,BW.MISOSI n.k. Minyo aliongea na www.whoissuistar.blogspot.com kuwa muafaka wa suala lake uko palepale na mipango yote iko sawa kuwa ataoa mwezi Juni, nakumalizia kutoa shukrani zake za dhati kwa wanandugu,marafiki,jamaa,majirani n.k kufanikisha michango yao kwa moyo mmoja.
No comments:
Post a Comment