Wednesday, January 2, 2013

MVUA YAZIDI KUNYESHA HOFU MABONDENI

Hali kwa sasa si nzuri kutoka na mvua kubwa inayonyesha maeneo ya Dar Es Salaam kama Ilala,watu wanatakiwa wajihadhari mapema wale ambao waishio sehemu za mabondeni.

No comments:

Post a Comment