Baada ya kuanza ligi vizuri kwa kushinda mechi
mbili za mwanzo na kutoa sare moja, klabu ya
Liverpool leo imeanza kuonja joto ya jiwe katika
Barclays premier league.
Wakicheza kwenye uwanja wao wa nyumbani wa
Anfield – Liverpool wamepoteza mchezo wao wa
kwanza msimu huu baada ya kukubali kipigo cha
3-0 kutoka West Ham.
No comments:
Post a Comment