Wednesday, December 23, 2015

Nduguye Diamond, Ricardo Momo aikubali dili ya MORISON.

Ujio wa Diamond ulikuwa na Ricardo Momo pia Babu Tale. MORISON alifanya mazungumzo na Ricardo kuhusiana  na mchezo wake.  Ricardo alipenda sana na kwa vile yeye ni mchezaji mzuri sana angependa kushiriki pia.

No comments:

Post a Comment