Wednesday, December 23, 2015

Uhuru Fm yamkutanisha Diamond na Morison muda mchache uliopita.

Kama ulimsikiliza Diamond 95.7 FM leo saa nane na nusu, sasa kabla ya kuingia kwa ajili ya mahojiano Diamond alikutana na Morison na baadhi ya watangazaji wa Uhuru Fm.

No comments:

Post a Comment