Artist:Diamond
Song:Nataka Kulewa
Pro:Maneck(A M Rec)
Written By:M M J
(Intro)
Aiyayayayayaya
We niache niende(niende)
Niende (niende)
morisonmosses@yahoo.com
Aiyayayayayaya
Niache niend(niende)
Niende (niende)
(Verse one) Usiniulize kwanini,sababu utanizinguaUkitaka jiunge na mimi,kama ni pesa we kunywa n'tanunua
Mi mwanzo sikuamini,nikajua vyakuzua
Kumbe mjinga ni mimi,mi naitunza wenzangu wanachukua
Ai
Ooh!Mapenzi,mapenzi yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
Mie siwezi,walionikuta we niache niseme Gina
Ooh!Mapenzi,mapenzi yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
Na n'na mengi,yamenikaa moyoooonimorison.mosses@facebook.com
(Chorous)
Nataka kulewa (Lewa)
Mi nataka kulewa (Lewa)
Nataka kulewa (Lewa)
Nisingependa nimwage radhi
www.whoissuistar.blogspot.com
Nataka kulewa (Lewa)
Mi nataka kulewa (Lewa)
Nataka kulewa (Lewa)
Nisingependa nimwage radhi
Aiyayayayayaya
We niache niende(niende)
Niende (niende)
Aiyayayayayaya
Niache niend(niende)
Niende (niende)
(Verse two) Mi kwa mapenzi maskini,nikamvisha na pete kwa kumuoaKukata vilimivilimi,vya wazushi wanafiki wanamponda
Kumbe mwenzangu na mimi,ni bure najisumbua
Sisi tuko kama ishirini,mabuzi ving'asti wengine anawaongasuistar.mosilver@facebook.comOoh!Mapenzi,mapenzi yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
Mie siwezi,walionikuta we niache niseme Gina
Ooh!Mapenzi,mapenzi yalinifanya kama mtoto nilie vibayaNa n'na mengi,yamenijaa moyooooni Eeh!
(Chorous)
Nataka kulewa (Lewa)
Mi nataka kulewa (Lewa)
Nataka kulewa (Lewa)
Nisingependa nimwage radhi
twitter@morisonmosses.com
Nataka kulewa (Lewa)
(Oh Tilalila)
Mi nataka kulewa (Lewa)
(Ooh Tilalilaaa)
Nataka kulewa (Lewa)
Nisingependa nimwage radhi
morisonmosses@gmail.com
Aiyayayayayaya
We niache niende(niende)
(Kulewa Kulewa)
(Kulewa Kulewa)
Niende (niende)
Aiyayayayayaya
Niache niend(niende)
Niende (niende)
(Kulewa Kulewa)(Kulewa Kulewa)
Iiih
(Kulewa Kulewa)
(Kulewa Kulewa)
Iiiih(Kulewa Kulewa)
(Kulewa Kulewa)
Iiiiiiih
M M Jumanne
Winner Fashion
Kiss Da Baby
No comments:
Post a Comment