Www.whoissuistar.Blogspot.Com
I'm Suistar
Artist:Diamond
Song:Kesho
Studio: Mj-Recordz
Written By:MMJ
{Introduction}
Za chaah (chaah)
Wasafi (Wasafi)
Za chaah (chaah)
Chali (Chali)
Aiyo Chali (Aiyo Chali)
Aiyo yoyo( Aiyo yoyo)
{Chorous}
=i> Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama x2
{Verse 1}
=I> Ai Kwanza kabisa n'tanyonga Tai, T-shirt na Jeans n'tatupa kidogo..
Unite Nasibu usiniite Dai, Asije kukuona muhuni akapandisha Mbogo...
Naukifika uagize Chai, Savanna Takila uzipe kisogo...
Kuhusu mavazi kimini haifai, Tupia pendeza ila za Hekima Logo...
[Hook]
=I>
Even though wanaponda eti we ni kicheche
Waambie ndoo chaguo langu sasa wanicheke x2
{Chorous}
=I>
Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama x2
{Verse 2}
Na' usilete swaga za Nainai, Ukanyoa kiduku kama Moze Iyobo..
Eti shopin' twende Tai,Wakati Dada angu ana duka kigogo..
Ukikuta Nguna usikatae, We zuga unapenda hata kama wa Muhogo..
Kuhusu kabila mbona Sadai, Mama angu hana noma hata kama Mgogo..
[Hook]
=I>
Even though wanaponda eti we ni kicheche
Waambie ndoo chaguo langu sasa wanicheke x2
{Chorous}
=I>
Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama x2
Bridge
Mama
Mama yangu mama...
Mama
Mama Naseeb mama...
Mama
Mama Diamond mama...
Ooooooh
Mama yangu nyumbani...
Mama
Mama Chali mama...
Mama
Mama Sepetu mama...
Eeeeeeh
Mama Kidoti mama...
Ooooh
Kwa mama Diamond nyumbani...
Mama
Mama Morison
{Chorous}
=I>
Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama x2
Yeeeeeeeh iiiiiiiii
Oooooooh
Mama Suistar
W
ritten By:Suistar
Visit;
morisonmosses@yahoo.com
morison.mosses@facebook.com
suistar.mosilver@facebook.com
morisonmosses@gmail.com
morisonm.blogspot.com
twitter@morisonmosses.com
www.uzasura.com
www.whoissuistar.com
No comments:
Post a Comment