Monday, January 14, 2013

MECHI YA MCHANGANI:NDOLA FC YATWAA MBUZI JANA ZIDI YA ........

Timu ya vijana wa Ilala iitwayo NDOLA FC ilitwaa mnyama aitwae MBUZI kwa kuwafunga timu iitwayo CHAFU TATU kwa goli 6-2.Cha ndimu kazi mechi ilikuwa na mzuka sana,kipindi cha kwanza Ndola waliongoza 4-1  na kipindi cha pili kuongeza 2-1."HONGERINI VIJANA" alisema SUISTAR MO SILVER

No comments:

Post a Comment