Thursday, January 3, 2013

OFFICIAL VIDEO:SUISTAR MO SILVER FEAT. MINYO_TUTAPATA

Wahusika wa hii video wapo watano Wanaume 4 na Mwanamke 1 aitwae Jasmine.Wa kwanza Suistar alias Mr.Sms/Nugget mwenyewe,Minyo ambaye ni producer,Uncle Jacob Millionear Billionear,jamaa mwenye shati jekundu hatupo nae tena alifariki mwaka jana 29-12-2012 kwa kupata ajari ya gari kwa kugongwa maeneo ya Temeke.Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi...
I'm Suistar

No comments:

Post a Comment